Search

465 results for Elias Msuya :

  1. PRIME Kigogo wa zamani Tucta afichua makubaliano ya kikokotoo

    Pia, ametaja kusimama kwa ajira katika Serikali ya awamu ya tano, akisema kulisababisha kushuka kwa ukwasi wa mifuko ya hifadhi ya jamii.

  2. PRIME Jiji la Dodoma hatarini kuwa eneo la makazi holela

    Sababu kuu inayotajwa ni uvamizi wa ardhi na ujenzi usiofuata mipango miji

  3. PRIME Sababu za mafuriko kuivuruga dunia

    Mikoa ya Tanzania iliyoathiriwa na mafuriko ni Pwani, Morogoro, Dar es Salaam, Kilimanjaro, Mbeya, Kigoma, Iringa, Tabora, Dodoma, Lindi, Mtwara, Arusha, Kagera, Shinyanga, Geita, Songwe, Rukwa...

    New Content Item (1)
  4. PRIME Rais kuteua ma-DED ngoma nzito

    Mbali na vyama vya siasa, wadau mbalimbali wamekuwa wakikosoa uteuzi wa viongozi hao kwa kuzingatia zaidi vigezo vya kisiasa kuliko uwezo kitaaluma na uzoefu.

  5. PRIME Kukithiri ajali barabarani: ‘Tatizo ni madereva’

    “Serikali itengeneze mfumo wa kumpata dereva sahihi kupitia leseni. Ajali inategemea na uelewa wa dereva je, madereva waliopo wana uelewa wa kutosha kupewa leseni? Au unamkabidhi gari shemeji...

  6. PRIME Sheria ya Magereza yatajwa chanzo cha manyanyaso kwa wafungwa

    Kauli iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jenerali, Mzee Nyamka kuhusu unyanyasaji wa wafungwa magerezani, imewaibua wadau wa haki za binadamu wakitaka Serikali iwajibike kuchukua...

  7. Makonda: Walitaka kuniua kwa drone wakashindwa

    Makonda alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Machi 2016 hadi mwaka 2020 alipoacha kazi na kwenda kugombea ubunge Kigamboni, lakini alishindwa kwenye mchakato wa kura ya maoni ndani ya CCM.

  8. PRIME Kilio cha ma-DC kuazima magari chazua gumzo

    Imedaiwa kuwa, gari lenye thamani ya Sh60 milioni ‘linaoza’ kwa sababu ya matairi ya Sh2.4 milioni au kipuri cha Sh500,000, linatelekezwa kwa miezi sita baadaye linauzwa Sh3 milioni

  9. Wadau wagonga nyundo mabadiliko ya jina la tume ya uchaguzi

    Wanasiasa na wadau wa siasa nchini Tanzania wamesema, mabadiliko ya jina la Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), ni kuwahadaa imewadanganya wananchi.

  10. CAG ainyooshea kidole Bodi ya Sukari

    Asema mikakati ya kukabiliana na uhaba wa sukari haitoshelezi na hali hii imekuwa ikijirudia bila kuwa na juhudi za kudhibiti hali hiyo.

Page 1 of 47

Next